Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kaogopa yasimkute ya horace kolimbaView attachment 1904840
Chanzo : Mwananchi
Heheheh... kaja na mic yake pia?Kaogopa yasimkute ya horace kolimba
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyu mwamba anasumbua sana hawa wakuu aseJasusi la mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]
Uchawi na Mungu vyote vipo.Anajifanya mcha Mungu halafu anakuwa na imani za kishirikina! Ni kipi kinamshinda Mungu iwe uchawi au sumu?
[emoji1787]Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka na kupewa kiti kingine kama alivyoomba.
Chanzo : Mwananchi
Lakini Mungu zaidi,uchawi si lolote wala si chochote mbele ya Mungu.Uchawi na Mungu vyote vipo.
Ndo maana alipewa akili! ila wewe pimbi unadhani anaogopa uchawi!Jamaa anajikuta great thinker fulani hivi kumbe boya tu
Siku akiingia bungeni pia agomee hivyo vitu.