Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.


Gwaji-bunge.jpg

 
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka na kupewa kiti kingine kama alivyoomba.

Chanzo : Mwananchi
[emoji1787]
Maono ya mtumishi sio mchezo, kaoneshwa mitego yote iliyotegwa kwa ajili yke!

#kama huna macho ya rohoni huwezi jua, kaa kimya tu
 
Back
Top Bottom