Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Wewe ndiye mpuuzi na pimbi mkubwa. Ukome kushadidia visivyokuhu nyumbu mkubwa. Chanjo ni hiari na nyie subirini, tutawaangamiza 2025. Msifkiri watanzania wanafurahia mnavyojihemua kuandama watu kwa kwenda kinyume na misingi ya mzalendo Dkt Magufuli
Ewe binti kuwa na adabu then rusi jifunze kuandika na kupangilia hoja.
 
Askofu Gwajima Ana ahadi ya mmoja kufukuza elfu moja na wawili kufukuza elfu kumi!! Wanaomhoji wakae mkao wa kukimbiana!! Wamemjia kwa njia moja watakimbia kwa njia saba!
 
Akili gani alizonazo?

Labda za kuwalaghai maboya kama wewe na misukule yake inayojazana kanisani
Aliwalaghi chadema yote akawa mshenga wao wa kumleta lowasa! Bila shaka chadema ni maboya sana
 
Itakuwa imani yangu haba lakini nikiwa na imani thabiti hakuna kitakachotokea kumbuka hata yesu aliweza kuyafanya aliyoyafanya kutokana na imani yake thabiti.
Na kweli una imani haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…