Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Wewe ndiye mpuuzi na pimbi mkubwa. Ukome kushadidia visivyokuhu nyumbu mkubwa. Chanjo ni hiari na nyie subirini, tutawaangamiza 2025. Msifkiri watanzania wanafurahia mnavyojihemua kuandama watu kwa kwenda kinyume na misingi ya mzalendo Dkt Magufuli
Waache tu sisi tumeshawajua wanaomuenzi JPM kwa vitendo.
Tukutane2025.
 
""Nilteeni GWAJIMA, Nilteeni GWAJIMA, nasema Nileteeni GWAJIMA"
John Joseph Pombe Magufuli(RIP)...President,5TH TERM.
Watu Sasa ndo tunaelewa,huenda Jiwe aliona mchelemchele huko mbele,atahitajika mtu jasiri Kama yeye.
 
Rashidi bwana. Sasa kama anaweza kufufua nini kitamtisha tena duniani, uchawi? Sumu? Mzee wa amfifiro ana imani haba
SOMA hiyo.
IMG-20200513-WA0000.jpg
 
Kama jibu langu halikufai au ulitegemea nikujibu jibu ulilonalo wewe uliniuliza swali ili iweje[emoji849]
Acha makasiriko ya jioni shogaangu... hayakusaidii hayo
Kumbe shoga! Sorry mama Delilah
 
Back
Top Bottom