Rashidi bwana. Sasa kama anaweza kufufua nini kitamtisha tena duniani, uchawi? Sumu? Mzee wa amfifiro ana imani haba
Pole sana...
Ni kwa sababu hujui jinsi Mungu Yehova anavyolinda watu wake...
Hayo ndiyo maisha ya MTU WA ROHONI contrary na MTU WA MWILINI maana maandishi yako haya yametoka katika fikra za MTU WA MWILINI, wewe...
Kuna wakati anaweza kukuambia kwa njia ya Roho wake mtakatifu kuwa:
ββ’ Ukifika usikae kwenye kiti kile, waambie wakuletee kingine; na usitumie microphone ile, waambie wakupe nyingine...
ββ’ Usipite njia hii, pita ile
ββ’ Au usifanye jambo hili kwa namna hii, fanya kwa namna hii
ββ’ Usikae hapa, kale pale
ββ’ Usiishi nchi ile, kaishi nchi ile nitakayokuonesha nk
Huku ndiko kuishi kwa KUONGOZWA NA ROHO na siyo kwa HISIA ZA MWILI AU MATAMANIO YA KIBINADAMU...
Kama wewe ni Mkristo wa kweli, ukaacha kutii sauti ya uongozi wa Roho Mtakatifu [Holy Spirit], utaangamia na kuteswa na shetani kupitia mwakala [satanic agents] wake hapa duniani mpaka utakoma....
Kwa mfano [Biblical examples];
1. Yusufu na mkewe wakaonywa na Roho Mtakatifu wamkimbize mtoto Yesu wakamfiche Misri kwa sababu Herode alikuwa anamtafuta amuue...
[Soma: Mathayo 2: 13 - 14]
## Je, unadhani Mungu hakuwa na uwezo kumlinda mtoto Yesu hapohapo alipokuwa na kumwangamiza Herode na serikali yake yote kwa usalama wa Yesu...?
Jibu ni HAPANA, kwa sababu ktk kila jambo Mungu ana KUSUDI lake na ana utaratibu wake kulitenda...
2. Abraham [Ibrahimu] aliamuriwa na Mungu atoke katika nchi ya Ukaldayo ya Uru alikoishi miaka mingi na