Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeandikwa " .....usimjaribu Bwana Mungu wako"Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Kacheze na mamba, umkemee ukuache salama.Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Hahahaha..Gwajima kauruka mtego ulio muondoa Horrace Kolimba na Seith Chachage
He is very right. Ya Kolimba bdo tuna frsh memory nayo. Alitoka humu a few days akafa kwa "sumu" at a slow pace.. Jadi ya CCM ni KUUA ana haki ya kuchukua tahadhali zote. Even if it were me, I would do the same.Kilikuwa cha rangi tofauti na viti vingine.
Alipokikataa kikatolewa nje.
Labda mkuu Pascal Mayalla kwa uzoefu wake kamatini anaweza kutupa elimu kama huu ulikuwa ni Uhalisia au Kijotijoti.
Mungu ni mwema wakati wote!
Kwani Kolimba alihojiwa na kamati ya bunge?He is very right. Ya Kolimba bdo tuna frsh memory nayo. Alitoka humu a few days akafa kwa "sumu" at a slow pace.. Jadi ya CCM ni KUUA ana haki ya kuchukua tahadhali zote. Even if it were me, I would do the same.
Wewe!, magu hakuwahi kunusurika?Hiyo ni ya kale sana toka enzi za Kolimba, alichofanya leo ni kutaka kutengeneza attention tu.
Whatever the type of Kamati, it was composed of CCM members/rogues and by CCM policy is the elimination of opponents by death!Kwani Kolimba alihojiwa na kamati ya bunge?
Maandiki yanasema watu wangu wanateketea kwa kukosa maarifa. Alichokifanya ameonyesha yeye ni shujaa na mwerevu wa maandiko.Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Kunguru mwoga huishi myaka bukuHiyo mic aliyopewa ndo ilikuwa imeandaliwa, tulijua tu atajifanya mjuaji.
Nje ya kikao mwenyekiti ni mbunge wa kawaida tu!Ila mkt wa kamati alionesha ukarimu sana wa kumkaribisha shahidi na kumpa maelekezo.
Mbona Lema ameshahojiwa mara kibao na hiyo kamati na bado yuko anadunda tu buheri wa afya huko ughaibuniWhatever the type of Kamati, it was composed of CCM members/rogues and by CCM policy is the elimination of opponents by death!
Maaskofu wako akiwemo Bagonza na Mwamakula wanavaa barakoa madhabahuni kila siku.Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Kilikuwa cha rangi tofauti na viti vingine.
Alipokikataa kikatolewa nje.
Labda mkuu Pascal Mayalla kwa uzoefu wake kamatini anaweza kutupa elimu kama huu ulikuwa ni Uhalisia au Kijotijoti.
Mungu ni mwema wakati wote!
Hivi, uongo na rushwa kipi kinakupa kigugumizi!!!!!Ingekuwa ni wa upinzani angekuwa Segerea au Ukonga kwa kuikashifu serikali. Mnyika katamiwa ajieleze kwa kumwita rais mwongo. Huyu kaitwa kamati ya maadili kwa kumtuhumu rais na waziri kupokea rushwa anatembea huru kabisa kifua mbereeee
Amina mpendwa!Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo, Mungu wa Daniel, Meshaki na Abednego, Mungu wa Yusufu na Daudi 😃😃😃🙏
Sasa si ndo Mungu huyo aliyempa akili ya kuitumia kung'amua. Wale ambao hawakuhamisha walipatwa nini unajua? Au unafikiri kuwa akili ulizopewa ni za kuvalia nanii tu? 😂😂😂😂😂Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.