Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Duu! kweli tozo za miamala na kodi ya majengo kupitia luku viimetuchanganya kupita kiasi, yaani hapa ndo great thinkers wa jf tupo ktk mjadala.......tunajadili hili. Hahahahaaaaaaa!
 
Na kwanini kiti kitolewe nje kisiwekwe pale nyuma kilichotoka kile alichovuta???
 
Itakuwa ni mshiriki katika mambo aliyoyatilia shaka ili yasije yakamkuta ya kile anachokifahamu kutokea ,hapo bungeni au kwengineko kwenya mambo ya na itikadi za chama chao ,au yumo kwenye kundi la wasiojulikana wenye mikakati,alihisi isije kuwa wenzake wamemgeukia.
 
Mbona chadema hawakupimwa akili kipindi kile ni mshenga wao wa kumleta lowasa?
Akili yako wewe ili ikae sawa usichanganye changanye mambo upimwe corona kwa kipimo kile cha China!
 
Kumbe mwana ni mwoga na mwepesi kiasi hiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itakuwa imani yangu haba lakini nikiwa na imani thabiti hakuna kitakachotokea kumbuka hata yesu aliweza kuyafanya aliyoyafanya kutokana na imani yake thabiti.
Imeandikwa usimjaribu bwana MUNGU wako.
Hata Yesu alikataa kumjaribu MUNGU.
Gwajey sio wa kumwamin ila msimlete Mambo ya kumjaribu Mungu
 
Duu! kweli tozo za miamala na kodi ya majengo kupitia luku viimetuchanganya kupita kiasi, yaani hapa ndo great thinkers wa jf tupo ktk mjadala.......tunajadili hili. Hahahahaaaaaaa!
Afu watu wanajadili kwa jazba na matusi.. au ndo chanjo
 
CCM wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani, Gwajima sio mjinga anajua wenzake wanachoweza kumfanyia pale, Nyerere alionya ukianza ukabila utaishia kukutafuna wewe na ukoo wako wote, CCM ni kama wakabila tuu
 
Kilikuwa cha rangi tofauti na viti vingine.

Alipokikataa kikatolewa nje.

Labda mkuu Pascal Mayalla kwa uzoefu wake kamatini anaweza kutupa elimu kama huu ulikuwa ni Uhalisia au Kijotijoti.

Mungu ni mwema wakati wote!

pascal mayalla wa sasa si wazamani mkuu
 
Kilikuwa cha rangi tofauti na viti vingine.

Alipokikataa kikatolewa nje.

Labda mkuu Pascal Mayalla kwa uzoefu wake kamatini anaweza kutupa elimu kama huu ulikuwa ni Uhalisia au Kijotijoti.

Mungu ni mwema wakati wote!
Na walimuambia kiti chako hicho umewekewa. Wakati kakiona. Ni kama kulikuwa na nguvu kubwa ya kumlazimisha akalie kiti.

Na jamaa akawa anakomaa kwamba utaratibu umeshaandaliwa. Ikabidi Gwajima arudie tena anahitaji kiti kingine.

Lakini baada ya kiti akaambiwa asogelee maiki. Wakati maiki inaonekana na inafahamika kabisa akitaka kuongea angeitumia tu. Sasa kulikuwa na uharaka gani wa kumuambia mike yako hiyo hapo sogea.
 
Naamini Wana jf mnauwezo mkubwa wa kufikiri na kuchangia Sasa matusi na chuki ndo naziona sijajua ni matokea ya chanjo au tozo
 
Na walimuambia kiti chako hicho umewekewa. Wakati kakiona. Ni kama kulikuwa na nguvu kubwa ya kumlazimisha akalie kiti.

Na jamaa akawa anakomaa kwamba utaratibu umeshaandaliwa. Ikabidi Gwajima arudie tena anahitaji kiti kingine.

Lakini baada ya kiti akaambiwa asogelee maiki. Wakati maiki inaonekana na inafahamika kabisa akitaka kuongea angeitumia tu. Sasa kulikuwa na uharaka gani wa kumuambia mike yako hiyo hapo sogea.
Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
 
Back
Top Bottom