Wewe unaonekana ni bonge tu la MPAGANI usiyejua lolote kuhusu IMANI ya Kikristo! Hivi unaweza kuchukua SUMU NA KUIRAMBA ukitegemea Mungu atakulinda? Mungu hafanyi biashara za kijinga kama hizo!Kama mtu anayejiita nabii ana maono , anayeweza kufufua watu , kuwapa utajiri ,kufukuza mashetani nk inakuwaje anaogopa kukalia kiti na microphone ambavyo kwa nguvu alizonazo angeweza kuvikemea na hayo madudu yaliyowekwa tungeyashuhudia live jana bungeni? Kwa kweli mimi sijamwelewa nabii gani huyu mwoga namna hii hadi kutegemea mabaunsa wamlinde ambao ni binadamu wenye madhambi kama wengine, au hamuamini Mungu halisi???. Anayemuelewa Nabii huyu naomba mwongozo hapa
Uko sahihi kaka. Gwajima ametumia macho ya Kiroho siyo ya kawaida!!!
Inaonekana hata hujui ushirikina ni nini,sasa nakujibu nini ndugu.Umedhibitisha vipi ya kwamba ni ushirikina kwamba kuomba kubadilishiwa kiti na kipaza sauti ni ushirikina, kwahio ukienda mahali ukaandaliwa chakula, ukasema ubadilishiwe chakula utasema ni ushirikina, kwanini usiseme uislamu, au ukristo, au upagani, au ukatoliki, kwanini iwe ushirikina
Huo uanachama wa CCM alichukuwa lini?AFUTWE UANACHAMA TU HANA LOLOTE
Sumu ni ushirikina ?Anajifanya mcha Mungu halafu anakuwa na imani za kishirikina! Ni kipi kinamshinda Mungu iwe uchawi au sumu?
Mungu alitupatia akili ili tuitumie !!Ukisema unamjaribu maana yake imani yako ni ya mashaka ni vyema usinywe hiyo sumu itakudhuru tu.
Nyie mandondocha wa mcheza filamu za ngono mna matatizo sana!Sumu ni ushirikina ?