Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

7EBDE073-3F13-4F25-8958-A01BC217931C.jpeg
 
Kama mtu anayejiita nabii ana maono , anayeweza kufufua watu , kuwapa utajiri ,kufukuza mashetani nk inakuwaje anaogopa kukalia kiti na microphone ambavyo kwa nguvu alizonazo angeweza kuvikemea na hayo madudu yaliyowekwa tungeyashuhudia live jana bungeni? Kwa kweli mimi sijamwelewa nabii gani huyu mwoga namna hii hadi kutegemea mabaunsa wamlinde ambao ni binadamu wenye madhambi kama wengine, au hamuamini Mungu halisi???. Anayemuelewa Nabii huyu naomba mwongozo hapa
Wewe unaonekana ni bonge tu la MPAGANI usiyejua lolote kuhusu IMANI ya Kikristo! Hivi unaweza kuchukua SUMU NA KUIRAMBA ukitegemea Mungu atakulinda? Mungu hafanyi biashara za kijinga kama hizo!
Biblia inachosema ni KUWENI WEREVU KAMA NYOKA NA WAPOLE KAMA HUA !!Gwajihoy ametumia akili na werevu aliopewa na Mungu. Full stop!! Jua kuwa Mungu siyo wa maonyesho!!
 
Anajitekenya na kucheka mwenyewe,drama huenda zikamponza,time will tell..
 
Umedhibitisha vipi ya kwamba ni ushirikina kwamba kuomba kubadilishiwa kiti na kipaza sauti ni ushirikina, kwahio ukienda mahali ukaandaliwa chakula, ukasema ubadilishiwe chakula utasema ni ushirikina, kwanini usiseme uislamu, au ukristo, au upagani, au ukatoliki, kwanini iwe ushirikina
Inaonekana hata hujui ushirikina ni nini,sasa nakujibu nini ndugu.
 
Back
Top Bottom