Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Amehofu wasije kumkolimba? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kakae mbele ya roli kama kweli una imani Mungu atakuokoa. yeye itakua amehisi wanaweza kuwa wameeka vitu sasa asiepuke kisa ana Mungu.
Bro watakuchosha hawa watu wanashindw kujiuliza kwanini tuna akili ya kun'gamua mambo,so ukiend hospitali unaumwa San usitibiwe sabb una I man I,
NB watu wangu wanaangamia kw kukosa maarifa.
 
Ccm hawaaminiani? Ila pia sio fair wamempa kakiti ka otelini na kanalangi tofauti na viti vingine wakati maviti yapo kibao, ok ngoja tuwachie wenyewe

MBOWE SIO GAIDI
KATIBA MPYA INAKUJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…