mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Gwaji boy!! 🔥🔥🔥 Katika ubora wake! Watajuta kumfahamu. Jumapili ijayo, kama kawaida! Ni vijembe tu kwa kwenda mbele.
Nileteeni Gwajima!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwaji boy!! 🔥🔥🔥 Katika ubora wake! Watajuta kumfahamu. Jumapili ijayo, kama kawaida! Ni vijembe tu kwa kwenda mbele.
Amehofu wasije kumkolimba? 😂😂Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima, amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki,Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Mpuuzi wewe,namjua Kolimba toka akiwa mwenyekiti wa juwata.Unajua kilichompata Kolimba au ulikuwa hujazaliwa
AFUTWE UANACHAMA TU HANA LOLOTE
Kaswele nyokoMpuuzi
Mnawaona wote humu ni watoto,mjingaKaswele nyoko
Bro watakuchosha hawa watu wanashindw kujiuliza kwanini tuna akili ya kun'gamua mambo,so ukiend hospitali unaumwa San usitibiwe sabb una I man I,kakae mbele ya roli kama kweli una imani Mungu atakuokoa. yeye itakua amehisi wanaweza kuwa wameeka vitu sasa asiepuke kisa ana Mungu.
Kikwete aliwahi kusema CCM hawaachiani maji
Magufuli na Mwakyembe waliwahi kukiri hayo piaHii inaleta tafsiri mbaya kwa bunge na CCM!
Hawaaminiani?!
wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Ccm hawaaminiani? Ila pia sio fair wamempa kakiti ka otelini na kanalangi tofauti na viti vingine wakati maviti yapo kibao, ok ngoja tuwachie wenyeweMbunge wa Kawe Josephat Gwajima, amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki,Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Kama wewe hapo unakitu gani cha kujilinganisha na huyu mwamba zaidi ya makalio.Jamaa anajikuta great thinker fulani hivi kumbe boya tu
Kwani huoni hapo kaongozwa na 'mungu' kufanya hayo aliyofanya?Anajifanya mcha Mungu halafu anakuwa na imani za kishirikina! Ni kipi kinamshinda Mungu iwe uchawi au sumu?