KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Nadhani alikumbuka ule" Unga Unga" enzi za Spika Sitta!Gwajiboy 😃😃😃😃
Hongera kwa kujibu swali.Kwani huoni hapo kaongozwa na 'mungu' kufanya hayo aliyofanya?
Mimi najibu tu swali lako sina habari na mambo yote yanayomhusu.
Hata Yesu alipoambiwa na shetani ajirushe toka juu kwa madai ya uwepo wa malaika wa kumdaka alijibu kuwa usimjaribu bwana Mungu.Rashidi bwana. Sasa kama anaweza kifufua nini kitamtisha tena duniani, uchawi? Sumu? Mzee wa amfifiro ana imani haba
Umeshawaza kama kweli vilikuwa na kasoro?, hapo Mungu wake hajaonesha uwezo alionao?.Mbona huwa anajigamba kwamba Mungu hashindwi na kitu na ndiye alituvusha kwenye wimbi la kwanza bila chanjo iweje Mungu huyo huyo leo asimwamini?
Kolimba alienda kimwili hakuwa Askofu mfufu wafu kama Gwaji
Luka 10:19 NEN
Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadh
Gwajima ni great thinker. Ametumia historical base ,kukwepa kuhujiumiwa.Ww kazi yako ni kudharau watu,lakini huna exposure yeyote.Jamaa anajikuta great thinker fulani hivi kumbe boya tu
Ingekuwa ni wa upinzani angekuwa Segerea au Ukonga kwa kuikashifu serikali. Mnyika katamiwa ajieleze kwa kumwita rais mwongo. Huyu kaitwa kamati ya maadili kwa kumtuhumu rais na waziri kupokea rushwa anatembea huru kabisa kifua mbereeee