Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Ivi hakusali au kukemea kabla ya kwenda pale,? make hata sisi huwa tunamwomba Mungu aondoshe vibwengo kabla ya kuanza safari.
 
Drama king kweli utaogopaje Corona kama ulishasema umesali na haiwezi kukupata? Drama king wa bongo
 
Mbona huwa anajigamba kwamba Mungu hashindwi na kitu na ndiye alituvusha kwenye wimbi la kwanza bila chanjo iweje Mungu huyo huyo leo asimwamini?
Umeshawaza kama kweli vilikuwa na kasoro?, hapo Mungu wake hajaonesha uwezo alionao?.

Fikiri zaidi Mkuu, fikiri pande mbili kama kulikuwa na mtego ni wazi kaukwepa hapo itakuwaje kashinda au kashindwa?
 
Ndaga Fijo
Ingekuwa ni wa upinzani angekuwa Segerea au Ukonga kwa kuikashifu serikali. Mnyika katamiwa ajieleze kwa kumwita rais mwongo. Huyu kaitwa kamati ya maadili kwa kumtuhumu rais na waziri kupokea rushwa anatembea huru kabisa kifua mbereeee
20210818_150346.jpg
 
Kwa nini amekikataa kipaza sauti? Halafu umemuona yule polisi? Kasheshe. Ameletwa ndani (dangerous) convict.
Too many interviewers. Lakini,I suppose,kamati yote lazima iwepo pale.
 
Back
Top Bottom