Waache tu sisi tumeshawajua wanaomuenzi JPM kwa vitendo.Wewe ndiye mpuuzi na pimbi mkubwa. Ukome kushadidia visivyokuhu nyumbu mkubwa. Chanjo ni hiari na nyie subirini, tutawaangamiza 2025. Msifkiri watanzania wanafurahia mnavyojihemua kuandama watu kwa kwenda kinyume na misingi ya mzalendo Dkt Magufuli
Hivi amekuk0sea nini lakini?AFUTWE UANACHAMA TU HANA LOLOTE
Wengi walikuwa watoto wakati Kolimba alipofanyiwa unyama,ndiyo maana wanashangaa Gwajima kukwepa.Kaogopa yasimkute ya horace kolimba
Watu Sasa ndo tunaelewa,huenda Jiwe aliona mchelemchele huko mbele,atahitajika mtu jasiri Kama yeye.""Nilteeni GWAJIMA, Nilteeni GWAJIMA, nasema Nileteeni GWAJIMA"
John Joseph Pombe Magufuli(RIP)...President,5TH TERM.
Kwako ni drama lkn historia ni mwalimu mzuri.Drama king [emoji1780]
SOMA hiyo.Rashidi bwana. Sasa kama anaweza kufufua nini kitamtisha tena duniani, uchawi? Sumu? Mzee wa amfifiro ana imani haba
Wadada wa instagram mnafuata nini humu?
Kwa kosa gani.AFUTWE UANACHAMA TU HANA LOLOTE
Wadada wa instagram mnafuata nini humu?
Hujajibu swali mama DelilahTunakutafuta wewe mdada wa facebook uje ujiunge Instagram
Wadada wa instagram mnafuata nini humu?
Tunakutafuta wewe mdada wa facebook uje ujiunge Instagram
Hujajibu swali mama Delilah
Kumbe shoga! Sorry mama DelilahKama jibu langu halikufai au ulitegemea nikujibu jibu ulilonalo wewe uliniuliza swali ili iweje[emoji849]
Acha makasiriko ya jioni shogaangu... hayakusaidii hayo
Eeeh ShogaaKumbe shoga! Sorry mama Delilah
Wewe ndio upimwe akili! Wanaomwamini GwajiKE pia wapimwe akili! Utamwaminije MTU anayetoa ripoti alivyopimwa mitambo hadharani!!Hakika wale wanaomfuata huyu jamaa na kuwa waumini wake kanisani wanabidi wapimwe akili
Yeye ni jasusi la mbinguni na jasusi lazima awe na machale.Mtumishi wa mungu anaogopa tena?