Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
hahah mkuu ok sawaItakuwa imani yangu haba lakini nikiwa na imani thabiti hakuna kitakachotokea kumbuka hata yesu aliweza kuyafanya aliyoyafanya kutokana na imani yake thabiti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahah mkuu ok sawaItakuwa imani yangu haba lakini nikiwa na imani thabiti hakuna kitakachotokea kumbuka hata yesu aliweza kuyafanya aliyoyafanya kutokana na imani yake thabiti.
Unaweza kumjaribu Mungu kwa kuonja sumu, kwamba Mungu nisaidie hii sumu isinidhuru?Anajifanya mcha Mungu halafu anakuwa na imani za kishirikina! Ni kipi kinamshinda Mungu iwe uchawi au sumu?
Couldn't have described him better.Drama king 🤴
Nchi hii wakitaka kukuua wanakuua tu na hakuna kitu utafanya.Kaogopa yasimkute ya horace kolimba
CCM bana yani hizi sarakasi za kina Gwajima ni staged kabisa kutusahulisha mambo yanayoendelea tozo na kesi ya waziri mkuu Mbowe.Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima, amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki,Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Nitahama TZ siku gwajiboy akihama ndio jasiri pekee ananifanya nijue upande wa piliUnaweza kumjaribu Mungu kwa kuonja sumu, kwamba Mungu nisaidie hii sumu isinidhuru?
Ukisema unamjaribu maana yake imani yako ni ya mashaka ni vyema usinywe hiyo sumu itakudhuru tu.Unaweza kumjaribu Mungu kwa kuonja sumu, kwamba Mungu nisaidie hii sumu isinidhuru?
Kaogopa yasimkute ya horace kolimba
Alishawambia yeye ni jasusi.safi sanaMbunge wa Kawe Josephat Gwajima, amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki,Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
SIO USHIRIKINA WEWE NDIO UNAWAZA USHIRIKINA.Anajifanya mcha Mungu halafu anakuwa na imani za kishirikina! Ni kipi kinamshinda Mungu iwe uchawi au sumu?
Unajua kilichompata Kolimba au ulikuwa hujazaliwaAnajifanya mcha Mungu halafu anakuwa na imani za kishirikina! Ni kipi kinamshinda Mungu iwe uchawi au sumu?
Watoto hao hawaelewiSIO USHIRIKINA WEWE NDIO UNAWAZA USHIRIKINA.