wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Pamoja na mapungufu ya huu utawala wangemtumia vzr waziri mpango tungeenda mbali. nimesikiliza hotuba yake ya budget kama Magufuli angemtumia vizuri angeipeleka mbali sana wizara ya fedha. Hofu yangu tu nahisi anaingiliwa. ila all in all nikichwa sana jamaa.
hiyo ni PAYE kweli?
Afadhari, Kodi ni kubwa mno aiseee
Sasa hivi utakatwa ngapi?Afadhari, Kodi ni kubwa mno aiseee. Nakatwa 700k+ kila mwezi. Naona Kuna unafuu sasa
Afadhari, Kodi ni kubwa mno aiseee
Nakatwa 700k+ kila mwezi. Naona Kuna unafuu sasa
Pamoja na mapungufu ya huu utawala wangemtumia vzr waziri mpango tungeenda mbali. nimesikiliza hotuba yake ya budget kama Magufuli angemtumia vizuri angeipeleka mbali sana wizara ya fedha.hofu yangu tu nahisi anaingiliwa. ila all in all nikichwa sana jamaa.
Ni kidogo but afadhari mkuu...Kuna mda nikiangalia slip yangu huwa naumia sana unakuta 700k wanachukua serikali Kama Kodi, 96k NHIF, 150+k inaenda LAPF ...Kama Million hivi inabaki kwao bado kwenye biashara zangu tena nakutana na milolongo ya Kodi.Unafuu kidogo sana..
Wabena huwa hawana unafiki unafiki na kujipendekeza, watu wa Iringa ni very strong....akina Msigwa!!
..kuna muda alililiwekea ngumu toto la baba kuhusu kontena la fanicha za waalimu. ..nikamkubali.
CCM ina watu makini wachache!! Achana na hawa badala ya kufikiri matatizo ya wananchi wao wanafikiri kubadili katiba.
Waziri ni fugure tu! Unafuata mawazo ya wataalamu.ni kichwa kutokana na kusikiliza mawazo ya wengine na sio yake peke yake.Wew umejuaje kama ni kichwa wakat hizo hutuba wanaandikiwa wao kaz yao ni kusoma tu
Ha ha hasio mbena ni muha huyo
Ha ha ha
Mkuu waha pia wana misimamo si kama watu wa kongwa ( baadhi) upepo unakovumia asubuhi na wao ndiyo huko huko wanashinda.