Huyu ni Mbunge wa viti maalum CCM kutoka Unguja ......sijui hata quality yake ni kitu gani?
Acha uongo wa kihuni sisi tupo bungeni ukitaka kuwa muongo jipange vizuri.
Amenishangaza mama mmoja mjumbe wa bunge la katiba aliposema kuwa nchi ambazo zimekuwa zikipiga kura ya siri kupitisha katiba zao ni nchi za mashoga.
Hebu weka jina lake hapa tumpe vipande vyake!
Tupe jina tukumwagie!Huyu ni Mbunge wa viti maalum CCM kutoka Unguja ......sijui hata quality yake ni kitu gani?
Kama ni hivyo, naona huyo mjumbe anatutukana wengi sasa.
Kura ya wazi haiwezi kuwa ya haki kwani watu watapiga kura kwa nidhamu ya woga.
Hii katiba ni ya watanzania sio vyama
Kwa anayemfahamu kwa majina kamili ayaweke hapa tufuatilie matokeo yake huko skuli jambiani.
Amenishangaza mama mmoja mjumbe wa bunge la katiba aliposema kuwa nchi ambazo zimekuwa zikipiga kura ya siri kupitisha katiba zao ni nchi za mashoga. Ameyasema hayo leo alipokuwa akipinga upigaji wa kura za siri wakati wa kupitisha rasimu ya katiba kufuatia mifano iliyotolewa na mjumbe mwingine aliyekuwa akitaka kura zipigwe kwa siri na kutoa mifano ya nchi mbali mbali zilizopiga kura za siri wakati wa kupitisha katiba zao. Profesa Safari alimtaka yule mama atoe ushahidi na kama hana aombe radhi na kufuta kauli yake. Mwenyekiti wa muda Bw Pandu Kificho hakumpa nafasi yule mama kutoa ushahidi au kuomba radhi badala yake alisema wajumbe wawe makini kujadili mambo ili waepushe mjadala kwenda kwenye mambo mengine.
....haya MAJANGA jamani, Ole wao wafanye mchezo watulee KATIBA mbovu; Pesa zetu tunayokamuliwa kupitia kwenye KODI zitawatokea puani.Halafu mlimwona alivyokuwa akicheza cheza utadhani yupo Bar mara baada ya kutema pumba zake?Huyu mama lazima atakuwa SHANGINGI mzoefu kwa vyovyote vile.Nasikitika kuona pesa yangu ya kodi inaenda kupotezwa bure kwa Wabunge wa aina hii!!
Kama ni hivyo, naona huyo mjumbe anatutukana wengi sasa.
Kura ya wazi haiwezi kuwa ya haki kwani watu watapiga kura kwa nidhamu ya woga.
Hii katiba ni ya watanzania sio vyama
Huyo mama inaonesha anazijua vyema sana habari za mashoga...