Kwani Bunge linafanya kazi vizuri, ni wale wale tu asitake kushikia chini wenzie wakati ye mwenyewe kimeo!!!Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi
nzuri
Haya ndiyo maajabu maana ilitakiwa Waziri husika atakiwe na bunge kutoa kauli ya serikali kuhusiana na hilo jambo.Kwani waziri wa mambo ya ndani hayumo humo bungeni???
Duuuh [emoji134][emoji134]Dah hii NIDA walimtoa Bwana MWAIMU aliekuwa mtaalamu wa IT Afrika na Dunia mwendazake akampa kesi ya utakatishaji fedha akamchukua jamaa yake kutoka ARDHI UNIVERSITY huyu jamaa anaitwa ANARD KIHAULE (Huwa wanamwita mzee wa Mabegi) Aisee huyu mwamba alikuwa anaongoza idara ambayo imeikifanya chuo kiko hoi bin taabani. Wewe unategemea NIDA ataleta jambo jipya?
Mtu Kama alimchagua Sabaya kua DC, unadhani kichwa chake kitakuaje?Dah hii NIDA walimtoa Bwana MWAIMU aliekuwa mtaalamu wa IT Afrika na Dunia mwendazake akampa kesi ya utakatishaji fedha akamchukua jamaa yake kutoka ARDHI UNIVERSITY huyu jamaa anaitwa ANARD KIHAULE (Huwa wanamwita mzee wa Mabegi) Aisee huyu mwamba alikuwa anaongoza idara ambayo imeikifanya chuo kiko hoi bin taabani. Wewe unategemea NIDA ataleta jambo jipya?
mashine bila watalaamu ni kazi bureSpika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi
nzuri
Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 13 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao kitambo sana"
Aidha, Mbunge wa Makunduchi amehoji kwanini uzalishaji wa Vitambulisho umepungua kwa kiasi kikubwa licha ya NIDA kuomba mashine nyingine mbili za Uzalishaji
Yaaani bunge halijielewi profesa hakukosea kabisaaaaHaya ndiyo maajabu maana ilitakiwa Waziri husika atakiwe na bunge kutoa kauli ya serikali kuhusiana na hilo jambo.
Asijione wakati CCM wamefadhili dialysis machine iko nyumbani kwake.Ndugai huwa anajiona bonge la kiongozi ila basi tu
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi
nzuri
Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 13 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao kitambo sana"
Aidha, Mbunge wa Makunduchi amehoji kwanini uzalishaji wa Vitambulisho umepungua kwa kiasi kikubwa licha ya NIDA kuomba mashine nyingine mbili za Uzalishaji
Dah hii NIDA walimtoa Bwana MWAIMU aliekuwa mtaalamu wa IT Afrika na Dunia mwendazake akampa kesi ya utakatishaji fedha akamchukua jamaa yake kutoka ARDHI UNIVERSITY huyu jamaa anaitwa ANARD KIHAULE (Huwa wanamwita mzee wa Mabegi) Aisee huyu mwamba alikuwa anaongoza idara ambayo imeikifanya chuo kiko hoi bin taabani. Wewe unategemea NIDA ataleta jambo jipya?