Bungeni, Dodoma: Spika Ndugai ataka NIDA kuitwa na Kamati. Asema haifanyi vizuri

Nida genge la wahuni tu

Kitambulisho kina expare so uraia wako umeeisha? Baada ya hap wataanza tena mchakato wa kuomba pesa serekalini ili kutengeneza vipya wakat hat hicho kilicho expare hujawah kukitia mknoni

Wife alifanya application since 2016 mpaka Leo hajawak kupata kitambulisho wal nn anatembea tu na kinamba chake
 
Sasa kitambulisho cha taifa.
"Expire date"
Ya Nini?
Au kuna Muda mtu uraia wake unabadilika?
 
Hivi huyu ndugai anatakiwa nae kuitwa wapi ahojiwe kuhusu bunge kuwa dhaifu na lisilo na impact yoyote ya lenyewe kuwepo?
 
Yeye mbona hajaitwa kuhijiwa kwa kushindwa kusimamia sheria za bunge?

Amewapokea watu 19 wasiyo wananchama na kuwazawadia ubunge kwa kukiuka sheria.
 
Alipewa lini hadi kiishe muda??
Sawa wanazingua lakini uongo sio dili
 
Kwani Bunge linafanya kazi vizuri, ni wale wale tu asitake kushikia chini wenzie wakati ye mwenyewe kimeo!!!
Bunge linapitisha sheria kandamizi za miamala wanatukamua kodi kila kona.

Hakuna mwenye akili timamu anaweza kulisifia
 
Sasa kitambulisho cha taifa.
"Expire date"
Ya Nini?
Au kuna Muda mtu uraia wake unabadilika?
Kuna kitu wanaita maduhuri ya Serikali, pamoja na kupokea malipo kadi hupati na bado wanaendelea kuomba tena bila aibu wanaendelea, kuwategemea wahisani kuendesha Serikali. Kitambulisho cha Taifa kinapaswa kutolewa bila kuweka "expiry date" ya muda mfupi.
 
Alipewa lini hadi kiishe muda??
Sawa wanazingua lakini uongo sio dili
Uongo umeuona wapi? Kwenye andiko langu kuna uongo? Halafu napata faida gani kwa kuandika uongo hapa?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…