Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao waanze kushusha bei ya mafuta ya magari.Serikali imeagiza Wazalishaji na Wasambazaji wa bidhaa muhimu kushusha mara moja bei za bidhaa zinazopandishwa pasipo kuendana na uhalisia wa Soko...
Serikali imeagiza Wazalishaji na Wasambazaji wa bidhaa muhimu kushusha mara moja bei za bidhaa zinazopandishwa pasipo kuendana na uhalisia wa Soko.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za uhaba na upandaji wa bei usioendana na uhalisia wa Soko kwenye bidhaa za Ujenzi, Vyakula, Nishati na pembejeo za Kilimo.
Amesema, hatua mbalimbali zimechukuliwa kukabiliana na hali hiyo ikiwemo Usimamiaji wa Sheria za Ushindani na kutafuta vyanzo mbadala vya upatikanaji wa bidhaa.
Unaagiza vitu vishushwe Bei wakati huo yanapandisha bei ya petrol,na hivyo vitu me himu ili vitoke viwandani,mashambani lazima vije kwa petrol,ama kweli sisi watanzania ni kichwa Cha mwendawazimu.kwa hio kuagiza tu unaona inatosha au basi tu unajiongelesha ili siku ziende wewe uendelee kula maisha ?
Kuna shida ipo mahali huku bara, zenj petrol 2400 , mafuta ya kula Lita 4800Agizo la kuwazuga wapiga kura
Kama Fuel imepanda na Rais alituandaa kisaikolojia siku ya kukabidhiwa report ya ukaguzi ya National Audit Office iweje leo watoe amri hiyo ya juu juu eti bei zishuke mara moja
Ati! Hiyo"urari wa malip/balance of p,ment,Export zaidi,zalisha zaidi,sarafu yenye nguvu, mbona yuan imemaliza kilio chinaHizo bidhaa zinafika sokoni kwa usafiri wa Punda?
Jana niliuliza bei ya maji ya kunywa sehemu 1.6 lt Afya. Nikaambiwa 700 badala ya 500. Nikatoka na kustuka sanaSerikali imeagiza Wazalishaji na Wasambazaji wa bidhaa muhimu kushusha mara moja bei za bidhaa zinazopandishwa pasipo kuendana na uhalisia wa Soko.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za uhaba na upandaji wa bei usioendana na uhalisia wa Soko kwenye bidhaa za Ujenzi, Vyakula, Nishati na pembejeo za Kilimo.
Amesema, hatua mbalimbali zimechukuliwa kukabiliana na hali hiyo ikiwemo Usimamiaji wa Sheria za Ushindani na kutafuta vyanzo mbadala vya upatikanaji wa bidhaa.
Narudia tena,bei haziwezi kushuka kwa matamko na maelekezo.Serikali imeagiza Wazalishaji na Wasambazaji wa bidhaa muhimu kushusha mara moja bei za bidhaa zinazopandishwa pasipo kuendana na uhalisia wa Soko.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za uhaba na upandaji wa bei usioendana na uhalisia wa Soko kwenye bidhaa za Ujenzi, Vyakula, Nishati na pembejeo za Kilimo.
Amesema, hatua mbalimbali zimechukuliwa kukabiliana na hali hiyo ikiwemo Usimamiaji wa Sheria za Ushindani na kutafuta vyanzo mbadala vya upatikanaji wa bidhaa.
Waongo tu wanaongea tuSerikali imeagiza Wazalishaji na Wasambazaji wa bidhaa muhimu kushusha mara moja bei za bidhaa zinazopandishwa pasipo kuendana na uhalisia wa Soko.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za uhaba na upandaji wa bei usioendana na uhalisia wa Soko kwenye bidhaa za Ujenzi, Vyakula, Nishati na pembejeo za Kilimo.
Amesema, hatua mbalimbali zimechukuliwa kukabiliana na hali hiyo ikiwemo Usimamiaji wa Sheria za Ushindani na kutafuta vyanzo mbadala vya upatikanaji wa bidhaa.
They just dont care simply they do not think they can be responsible leaders.Narudia tena,bei haziwezi kushuka kwa matamko na maelekezo.
Bei zinapangwa na soko kama hamuamini subirieni kesho tuone kama zitashuka.
Pili tunaelekea msimu wa mavuno kwa baadhi ya mikoa bei zikishuka isije singiziwa kauli ya PM.
Tatu mafuta yamepanda jiandaeni nauli kupanda sasa tutaona kama matamko huwa yanashusha bei..
Matamko na biti za mwendazake hazikuwahi shusha bei ya sukari,saruji,mabati nk .
Hizo tenda zenyewe za kuingiza hivyo vitu nchini wamegawana waowenyewe huku kwenye kushika maiki ni kutuzuga tu ili tuwaone kuwa tupo pamoja, upuuzi mtupu.Majaliwa huyu huyu kaagiza? Hakuna kitu hapo vitu vitaendelea kupanda sn
Sio Samia wala Majaliwa wote walipita bila kupingwa na haku a wa kuhoji wala kuzuia.Mama-Watanzania waambiwe gharama za maisha zitapanda kwasababu ya vita ya Urus na Ukrein. Majaaliwa vitu vishushwe bei visipande kiholela!!!! Mang'ombe tunapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa? Vile mnajua kura za wananchi hazinaga madhara kwakuwa kuna vipengele vya kupita bila kupingwa haina shida.