Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

Nadhani angekuwepo angefurahi Sana kuona hakuna swali kwa serikali

Kabisa yaani mambo mazuri hakuna hata swali la kumuuliza PM,miradi yote ya kimkakati inaenda vizuri,kero za wafanyakazi hakuna yaani kila kitu kipo safi...Mikumi tena kwa SSH.
 
Mizengo pinda nilikua na mkubali
 
1.HII NDIO DALILI KUWA HATA SUALA LA KUONGEZA MUHULA WA UONGOZI,AGENDA INGELETWA WASINGEKUWA NA SWALI LA KUULIZA WALA KUPINGA HOJA,HATA KAMA KATIBA INGEKUWA INAVUNJWA.
2.HII NI DALILI PIA KUWA HAKUNA WAZO MBADALA KWA HOJA ZINAZOLETWA KUJADILIWA BUNGENI.
 
Maswala lazima yajadiliwe. Yasipojadiliwa Bungeni at least yatajwe katika mitandao ya kijamii.
Kama watu wanaosema Magufuli ameuawa kwa kutumia polonium.
Usipoyajadili unakaribisha matatizo.
Usipoyajadili Ina màana unafikiria kwamba mambo yapo in capable hands.
 
Yaani wamekosa kabisa swali,,, kitu ambacho hata msukuma wheelbarrow akiambiwa hawezi kosa swali..

Hii nchi kuna shida mahali
 
Mkusanyiko wa wahuni haustahili kupewa hadhi ya kuitwa Bunge.
 
Huyu dada ni mjinga Sana badala ya kusema waziri mkuu hayupo , kaenda kwenye kampeni muhambwe kigoma ndio akaona adanganye kitoto hivyo ? PhD feki ndio hizi sasa .
 
Bunge la mtu mmoja ameliweka mfukoni.....mwendazake aende tu ametuharibia nchi
 
Huyu dada ni mjinga Sana badala ya kusema waziri mkuu hayupo , kaenda kwenye kampeni muhambwe kigoma ndio akaona adanganye kitoto hivyo ? PhD feki ndio hizi sasa .
Ndugai na Tulia ni masalia ya mwendazake.
 
Hii imenikumbusha wakati nasoma shule darasa letu lilikuwa tumetengwa wanafunzi
Maalum,watundu,watukutu
Kila mwalimu akifundisha akimaliza akiuliza
Kuna mwanafunzi mwenye swali"watu kimyaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"

Ova
 
Enzi za kambi rasmi ya upinzani bungeni swali namba moja kwa waziri mkuu lilikuwa likiulizwa na m/kiti wa Kambi rasmi bungeni, inasikitisha kukosa swali
 
Hii imenikumbusha wakati nasoma shule darasa letu lilikuwa tumetengwa wanafunzi
Maalum,watundu,watukutu
Kila mwalimu akifundisha akimaliza akiuliza
Kuna mwanafunzi mwenye swali"watu kimyaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"

Ova
Hapo kuna option 3,
Hujaelewa kitu,
Unaogopa au unaona aibu kuuliza,
Mwalimu mkali.
 
Msukuma, Mzee halima, kibajaji, Mwanafaa hata Babu tale? Yaani waugwana wote Hawa hawakua na maswali?

Hata yule mama ambaye hajapata mwanaume mwenye nguvu za kiume mpaka sasa?

Lazima Bashir alikua na swali, walimbania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…