kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Mtu anaestahili kutozwa faini ya 2m hadi 20m ingepaswa iwe ni yule tu ambae atahamisha (diverge) mto bila kibali sio yule anaetumia maji tu bila ya kuhamisha chanzo cha maji. maana uzito na ukubwa wa makosa yao haufanani kiasi cha kuhukumiwa kwa adhabu ilele ya aina moja na ukubwa uleule?.
Hiki ndicho alichokuwa anakisema yule mbunge Lakini hoja yake imezimwa kwa ndiyoooooo ya wengi. Huu ni msiba mwingine kwa jamii, maana kuna watendaji watakaokwenda kujinufaisha na sheria hii.
HIviii, Yule anaehamisha uelekeo wa mto kwenda kwingine na yule anaetumia maji ya pomba lake au kisima au bwawa kumwagilia matuta yake 2 tu ya mchicha wake wamefanya makosa yanayofanana? elimu yetu haitutoshi ndugu zangu.