Sijui kuhusu Tulia....Tulia anajionaga yeye anajua sana sheria kuliko watu wengine, hiyo hoja ina mashiko haiwezekani makundi hayo mawili yakahukumiwa kwa level moja ya sheria
Sijui kuhusu Tulia....
Ila huyo Salome hoja yake haina Nguvu.
Ni kweli, Spika alikosea hakumpa nafasi aliyokuwa akiomba ( zaidi ya mara tatu)...Spika angempa nafasi Mh.Salome Makamba achangie kwa uhuru.
..baada ya hapo nafasi ingekwenda kwa serikali kujibu hoja hiyo na kama haina mashiko ingezimwa.
..hiki anachofanya Spika ni vurugu.
Ni kweli, Spika alikosea hakumpa nafasi aliyokuwa akiomba ( zaidi ya mara tatu).
Lakini hii haibadilishi pia alichokuwa anakisema kina walakini.
Kupata kibali kasema ni laki tano mpaka laki saba.
Pia anataka faini kwa kosa la kutumia maji bila kibali iwe laki tano ( faini na kibali viwe na gharama sawa).
Huoni hapo watu hawatokata vibali watasubiri faini?
( ambayo ni mpaka ukamatwe, usipokamatwa utatumia bure tu).
Fikiria kosa kama kujenga weir na ukafunga pump kubwa, kujenga bwawa au Chanel....
Faini yake iwe laki tano mpaka million mbili?
Ningemuelewa kama angesema Gharama za vibali zishushwe na sio Kushusha kiwango cha faini.
Huyu Supika yupo kwa Miongozo..Spika Tulia Ackson anakera sana asivyowapa nafasi wabunge kujenga hoja zao.
Hebu tafakari, mimi nimefumaniwa nikitumia maji ya bomba langu nikinyweshea kibustani changu cha hatua 5 kwa 5 na Mr. Patel akakutwa amehamisha maji ya mto Ruaha kuyaelekeza kwenye shamba lake la eka 3000 la mpunga, halafu spika anasema kuwa mimi na Patel tumetenda kosa moja lenye adhabu moja na wewe unasema yuko sahihi, ndiyo hivyo? Kwa LUGHA NYINGINE kibali cha kupata ruhusa ya kutumia maji kumwagilia kibustani changu hicho kinafanana na kibali cha kuelekeza maji kwenye plantation? elimu yetu ya shule haina kazi hebu tutumieni ile ya kuzaliwa na uzoefu tu.Ni kweli, Spika alikosea hakumpa nafasi aliyokuwa akiomba ( zaidi ya mara tatu).
Lakini hii haibadilishi pia alichokuwa anakisema kina walakini.
Kupata kibali kasema ni laki tano mpaka laki saba.
Pia anataka faini kwa kosa la kutumia maji bila kibali iwe laki tano ( faini na kibali viwe na gharama sawa).
Huoni hapo watu hawatokata vibali watasubiri faini?
( ambayo ni mpaka ukamatwe, usipokamatwa utatumia bure tu).
Fikiria kosa kama kujenga weir na ukafunga pump kubwa, kujenga bwawa au Chanel....
Faini yake iwe laki tano mpaka million mbili?
Ningemuelewa kama angesema Gharama za vibali zishushwe na sio Kushusha kiwango cha faini.
Hao wenyewe wanajua ugumu wa maisha ulioko mtaani?Mtu anaestahili kutozwa faini ya 2m hadi 20m ingepaswa iwe ni yule tu ambae atahamisha (diverge) mto bila kibali sio yule anaetumia maji tu bila ya kuhamisha chanzo cha maji. maana uzito na ukubwa wa makosa yao haufanani kiasi cha kuhukumiwa kwa adhabu ilele ya aina moja na ukubwa uleule?.
Hiki ndicho alichokuwa anakisema yule mbunge Lakini hoja yake imezimwa kwa ndiyoooooo ya wengi. Huu ni msiba mwingine kwa jamii, maana kuna watendaji watakaokwenda kujinufaisha na sheria hii.
HIviii, Yule anaehamisha uelekeo wa mto kwenda kwingine na yule anaetumia maji ya pomba lake au kisima au bwawa kumwagilia matuta yake 2 tu ya mchicha wake wamefanya makosa yanayofanana? elimu yetu haitutoshi ndugu zangu.
Ilo lilipaswa liwe sehemu ya mjadala.tatizo linakuja ninani wakujadili.Hao watu wanapitishaga mambo kwa pupa alafu badae ndo wanakuja kuanza kusema jambo flani tulirekebishe wakati huo limeshaleta athari kwa watu.Ni kweli, Spika alikosea hakumpa nafasi aliyokuwa akiomba ( zaidi ya mara tatu).