Bungeni Jamii forum

Ndugu mbunge kule jukwaa limefutwa kwa mujibu wa maneno ya Raisi wa jamii forum Max
Muheshimiwa spika napenda kujua utaratibu unaotumika kuteua watukufu viongozi was nchi yetu ya jamii forum. Tumefuatilia vyombo vya habari mapema leo vikimtaja KILANGA kuwa raisi wa nchi yetu... Wewe unamtaja Max naomba maelekezo yako muheshimiwa spika
 
Max ni baba wa Taifa ila Kiranga ni muachiwa kijiti ndugu mbunge
 
Mheshimiwa Spika vipi kuhusu biashara yako ya chips ? Naomba siku moja utuletee waheshimiwa za kuonja ,mheshimiwa spika ili ttukuungishe vizuri
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
mhe spika..

tulisisitiza mchumba hasomeshwi.. lakini baadhi ya wawakilishi hawakutaka kutuskia.. tumewaambiya. lakini hawaskii.. matokeo yake wanajitundika..!

nawasilisha mhe spika..
[emoji16][emoji16][emoji16] Hili Jambo limekuwa Sugu sasa mhe mbunge inabidi kwa sasa tutungie sheria kabisa
 
Muheshimiwa spika muheshimiwa huyu ametukana na amenivua kofia
[emoji16][emoji16] @mhe troublemaker tafadhari muombe msamaha ndugu @Mtwamkulu kwa kauli yako inayoonyesha dharau kwa mhe mbunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…