Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
[emoji3][emoji3][emoji3] we fala daah...Ndugu Mh. Spika naomba unikopeshe hata buku jelo.. Hali ni mbaya sana mh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3] we fala daah...Ndugu Mh. Spika naomba unikopeshe hata buku jelo.. Hali ni mbaya sana mh.
Asante sana Mh spika situmi ntafuata ushauri wako.Ukituma tu umeliwa mhe Mbunge, mwambie aje utalipa akifika
Muheshimiwa spika napenda kujua utaratibu unaotumika kuteua watukufu viongozi was nchi yetu ya jamii forum. Tumefuatilia vyombo vya habari mapema leo vikimtaja KILANGA kuwa raisi wa nchi yetu... Wewe unamtaja Max naomba maelekezo yako muheshimiwa spikaNdugu mbunge kule jukwaa limefutwa kwa mujibu wa maneno ya Raisi wa jamii forum Max
Max ni baba wa Taifa ila Kiranga ni muachiwa kijiti ndugu mbungeMuheshimiwa spika napenda kujua utaratibu unaotumika kuteua watukufu viongozi was nchi yetu ya jamii forum. Tumefuatilia vyombo vya habari mapema leo vikimtaja KILANGA kuwa raisi wa nchi yetu... Wewe unamtaja Max naomba maelekezo yako muheshimiwa spika
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mheshimiwa Spika vipi kuhusu biashara yako ya chips ? Naomba siku moja utuletee waheshimiwa za kuonja ,mheshimiwa spika ili ttukuungishe vizuri
[emoji16][emoji16][emoji16] Hili Jambo limekuwa Sugu sasa mhe mbunge inabidi kwa sasa tutungie sheria kabisamhe spika..
tulisisitiza mchumba hasomeshwi.. lakini baadhi ya wawakilishi hawakutaka kutuskia.. tumewaambiya. lakini hawaskii.. matokeo yake wanajitundika..!
nawasilisha mhe spika..
Muongozo muheshimiwa spikaMheshimiwa sipika naomba kujua ni Nini maana ya jf expert member?
Muheshimiwa spika muheshimiwa huyu ametukana na amenivua kofia[emoji3][emoji3][emoji3] we fala daah...
Ndugu mbunge, ili kumpunguzia majukumu mh spika inabidi ukumbuke kuwa dawa ya Moto sio maji.Muheshimiwa spika muheshimiwa huyu ametukana na amenivua kofia
Kanuni zinakataza muheshimiwa mbunge kuandikiwa maswali na mtu mwingine na kuyaleta humu. Tunaomba umzuie muheshimiwa huyuEeheee mhe mbunge