Bungeni Jamii forum

Bungeni Jamii forum

Mugmheshimiwa spika swali la nyongeza. Mbona waanzilishi wengi wa nyuzi wanahoji uhalisia/matukio tunayoyafanya, je hili haliwezi kua mbinu za wasiojulikana kuunga doti?
 
Mugmheshimiwa spika swali la nyongeza. Mbona waanzilishi wengi wa nyuzi wanahoji uhalisia/matukio tunayoyafanya, je hili haliwezi kua mbinu za wasiojulikana kuunga doti?
Ondoa shaka kabisa mhe: mbunge nchi yeti ya Jamii forum iko salama kabisa,
Kutekana hayo ni mambo ya kawaida ata nchi kama marekani huwa yanatokea sana

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mheshimiwa sana spika, kwanza ningeomba ututhibitishie ni vipi unaweza kutuhakikishia usalama wetu.
Karibuni bungeni, katika Nchi ya Jamii Forum,
Njooni tujadili Changamoto, maendeleo na kupanga bajeti ya Nchi yetu ya Jamii forum ,
Bila kusahau Report ya CAG, Bajeti ya Nchi na fedha za miradi,
Usiache kuhoji zile ajira zilizotolewa hapa nchini za mawaziri wa serikari(Mod) kama zilitolewa kihalali bila Rushwa,

Karibuni bungeni usisahau neno "Mhe spika"
Kila na baada ya kumaliza hoja yako.



Cc Zero iq



Cc Zero iq
 
Ndugu mweshimiwa spika wa jamuhuri ya jamiiforum nchi ni yangu lakini naishi kama mtumwa wananchi wanaishi kama mtumwa

Yaani inafikia kipindi tunanyimwa kusafiri jukwaa la wakubwa kwani shida nini Mimi nadhani waziri mwenye dhamana angeshulikia hilo
 
Muheshimiwa spika nilikua na ombi la manadiliko kwenye kanuni ya bunge ya kufuta uzi wa wabunge

badala yake mwenye uzi apewe maelekezo namna ya kuwasilisha uzi wake badala ya kufuta,
Ni hayo tu muheshimiwa spika
 
Mheshimiwa spika naomba nipate muongozo kuhusu kupotea kwa wabunge wa chaputa maana jumuiya yao kama imekufa hivi maana siku hizi sisikii michango yao mbalimbali mjengoni , je wamepatwa na nini ?
 
Mheshimiwa spika, napenda kulitarifu bunge lako tukufu ya kwamba, Sasa hivi muda huu niko nimetoka kanisani naenda kupiga kura kuchagua mwenyekiti wa mtaa wangu, nawaomba wapinzani wasusie uchaguzi hata mwaka 2020.

Naomba kuwasilisha.

Asante.
 
Back
Top Bottom