Kwani siku hizi Kuna wabunge binafisi?Hana chama ila Ana hoja[emoji106]
Mwambieni huyo Mbunge sio kila jambo linapaswa kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa.Ni wa chama gani huyo mama Kafulila?
Kafulila hajawa na kambinyo fulani kweli hapo?Huyo muhuni ameweka wazi nani aliforge saini ya wao kuingia kwenye hilo bunge kibogoyo?
Anazungumzia sheria namba 23 ya 2015Huyu mbunge ni mjinga sana, ninachofahamu ni kwamba Kamati zote za Bunge hupata fursa ya kupitia mikataba husika kwenye sekta ambayo kamati inasimamia pia kuna Kamati ya kudumu ya Sheria na Katiba, hii pia hupelekewa Mikataba yote inayosainiwa na serikali na wawekezaji sasa huyu anapokuwa anaongea hivyo anakuwa anadanganya wananchi ili iweje?
Acha uongo mbona kampuni za simu zikiandaa product mpya huwa inapita TCRA kabla haijaruhusiwa ku launch. Kwani TCRA hawatoharibu ushindani maana wanaona business strategy za makampuni?Mikataba ni nyenzo ya ushindani katika biashara huwezi tu kuweka wazi kwa kila mtu.Ndio maana wanaosimamia wanaapa kitotoa siri.Ukiweka mambo wazi serikali za nchi nyingine zitatumia taarifa hizo kukukabili kiushindani.