zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Sheria inaruhusu sio tu bungeni ila kwenye tovuti kuu ya serikaliMwambieni huyo Mbunge sio kila jambo linapaswa kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa.
Soma>>> Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa