WanaJF,
Kamati iliyoundwa kushughurikia kanuni za bunge maalumu la katiba, pamoja na mambo mengine, leo imependekeza SIWA MPYA kutengenezwa mahususi kwa ajili ya bunge hili la katiba.
Ndugu mwenyekiti wa kamati alieleza kuwa, kwa kuwa jambo la kuandaa katiba ya nchi yetu ni la kihistoria, hivyo bunge lina kila sababu ya kutengeneza SIWA mpya kwa ajili ya tukio hilo.
SIWA iliyopendekezwa iliombwa kuwa ya dhahabu na aluminium.