Bungeni: Kamati yapendekeza 'siwa' mpya.

Bungeni: Kamati yapendekeza 'siwa' mpya.

Tukiwa bado tunalalamika juu ya laki 7 ambazo zinatumika km agenda ya kisiasa sasa,tujue kuwa wajumbe watalipwa pesa nyingi zaidi bz Bunge hili litachukua zaidi ya miezi mitatu.Tatizo ni kuwa hakuna mipango,km kanuni tu za bunge lenyewe zimekuja too late mnategemea nini?complain kibao juu ya laki 7 ilihali hela inayoteketea hapo ni hatari tupu.
 
Back
Top Bottom