hivi man u ana point ngap had sasa?
kwa ccm hawaangali hilo wao wanaangalia rafiki/shoga mchumba na kuendelea kapata nyumba au ukumbi au biashara ambayo kwa kumbukumbu ya katiba mpya itaitwa ukumbi wa katiba au katiba house , katiba trans e.t.c e.t.cDuh!! hadi sasa hatujasikia lolote la maana lililowapeleka huko ni vituko kila kukicha, na hiki kinachoendelea nafikiri kinasababishwa na huyu mwenyekiti wa Muda kwani elimu yake ni ndogo (Form six na Diploma ya sheria)na ili kulithibitisha hilo tuchunguze na kuangalia ni nini alikuwa anakifanya na kinachofanyika katika lile bunge lao kule Zanzibar kwani huwa ni la hovyohovyo tu halina mbele wala nyuma.
Duh!! hadi sasa hatujasikia lolote la maana lililowapeleka huko ni vituko kila kukicha, na hiki kinachoendelea nafikiri kinasababishwa na huyu mwenyekiti wa Muda kwani elimu yake ni ndogo (Form six na Diploma ya sheria)na ili kulithibitisha hilo tuchunguze na kuangalia ni nini alikuwa anakifanya na kinachofanyika katika lile bunge lao kule Zanzibar kwani huwa ni la hovyohovyo tu halina mbele wala nyuma.