“Naomba kulitaarifu Bunge lako tukufu kuwa, safari za treni ya mwendokasi kutoka Dar es Salaam - Morogoro zilianza Juni 14, 2024 na Julai 25, 2024 uendeshaji wa reli ya kisasa kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma ulianza,” amesema.
“Kipekee ninaomba kumpongeza Rais Samia kwa kusimamia maono yake na kwa kweli anaahidi, anatekeleza, Kazi Iendelee”.
Hakika na sense ya ownership iwepo, huu mradi ni muhimu sana kuliko kiongozi yeoyete wa Taifa hili.
Kwasababu wanajua faida si muhimu...Sgr inapaswa kuwa ya MIZIGO.
..biashara ya abiria itabidi shirika lipewe ruzuku.
..na nimeona kuna matumizi yasiyo ya lazima ikiwemo kuajiri mamia ya wahudumu
ktk treni.
We jamaa wahudumu nashauri wawepo wengi pale stesheni mana unakuta watu kibao alafu wahudumu hamna..Sgr inapaswa kuwa ya MIZIGO.
..biashara ya abiria itabidi shirika lipewe ruzuku.
..na nimeona kuna matumizi yasiyo ya lazima ikiwemo kuajiri mamia ya wahudumu
ktk treni.
We jamaa wahudumu nashauri wawepo wengi pale stesheni mana unakuta watu kibao alafu wahudumu hamna
Joka kuna uchawi sio bure mbona mimi juzi kati hapo stesheni kuu ya daslamu wahudumu wa kukatisha tiketi ilikua mtiti mpaka madirisha mengine yakawa yako wazi tu wahudumu wawili mfoleni huoo..sisemi wahudumu waondolewe wote.
..mimi nadhani idadi yao imezidi mahitaji.
Joka kuna uchawi sio bure mbona mimi juzi kati hapo stesheni kuu ya daslamu wahudumu wa kukatisha tiketi ilikua mtiti mpaka madirisha mengine yakawa yako wazi tu wahudumu wawili mfoleni huoo
Kwa uzoefu wangu, na tabia ya watanzania kwa mali za umma, it's just a matter of time, itakuwa kama UDART au kuendeshwa kwa hasara kama CAG anavyoliripoti ATCL,TTCL etc...ningeweza kuekewa kidogo kama main objective ya SGR ingekuwa kusafirisha mizigo halafu hii ya abiria iwe ni additional. Ina maana usafirishaji wa mizigo ungeweza pia kuiendesha treni ya abiria kwa kuongezea some running costs. Kingine hii reli inatakiwa private sector waruhusiwe kuleta treni zao za mizigo na abiria na wawe wanailipa serikali Kodi ya kutumia SGR.Hakika na sense ya ownership iwepo, huu mradi ni muhimu sana kuliko kiongozi yeoyete wa Taifa hili.
Wahudumu wengi wa nini? Mabus yana wahudumu wangapi?We jamaa wahudumu nashauri wawepo wengi pale stesheni mana unakuta watu kibao alafu wahudumu hamna
Hili pia ni kosa lingine,tena la kujitakia. Serikali ndiyo imeamuru mabus yote tiketi zikatwe kwa mtandao. Mimi sikumbuki ni lini nimeenda stendi kukata tiketi. Natumia simu tuu na wananitumia tiketi yangu, tena makampuni mengine hata huna haja ya kuprinti hard copy...Joka kuna uchawi sio bure mbona mimi juzi kati hapo stesheni kuu ya daslamu wahudumu wa kukatisha tiketi ilikua mtiti mpaka madirisha mengine yakawa yako wazi tu wahudumu wawili mfoleni huoo
Watu waelimishwe wakate ticket kwa njia ya mtandao. Sioni haja ya watu kuwa na misurur kwenye madirisha ya wakata ticket.Joka kuna uchawi sio bure mbona mimi juzi kati hapo stesheni kuu ya daslamu wahudumu wa kukatisha tiketi ilikua mtiti mpaka madirisha mengine yakawa yako wazi tu wahudumu wawili mfoleni huoo
Hata treni huna haja ya printed copy ukikata kwa njia ya mtandao.Hili pia ni kosa lingine,tena la kujitakia. Serikali ndiyo imeamuru mabus yote tiketi zikatwe kwa mtandao. Mimi sikumbuki ni lini nimeenda stendi kukata tiketi. Natumia simu tuu na wananitumia tiketi yangu, tena makampuni mengine hata huna haja ya kuprinti hard copy...
We jamaa mbona kama huelewi au mimi ndio sielewi mana pale ukikata mtandaoni watakuambia upitie dirishani waiprint tena unafahamu?Watu waelimishwe wakate ticket kwa njia ya mtandao. Sioni haja ya watu kuwa na misurur kwenye madirisha ya wakata ticket.
We kariri tu mambo ya mabusi basi pale kuna watu wamekata kupitia mitandaoni na wakawa wamepanga foleni waiprint iwe kwenye mfumo wa ticket ya karatasi sasa kama unaona tunajitakia lipia hapo kwenye simu alafu nendaHili pia ni kosa lingine,tena la kujitakia. Serikali ndiyo imeamuru mabus yote tiketi zikatwe kwa mtandao. Mimi sikumbuki ni lini nimeenda stendi kukata tiketi. Natumia simu tuu na wananitumia tiketi yangu, tena makampuni mengine hata huna haja ya kuprinti hard copy...
Mimi nimetumia SGR na sikuwa na karatasi. Tiket yangu waliiscan ikiwa kama PDF kwenye Simu ya mkononi.We jamaa mbona kama huelewi au mimi ndio sielewi mana pale ukikata mtandaoni watakuambia upitie dirishani waiprint tena unafahamu?