nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Tupeni updates ya kinachoendelea hapo dodoma mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UFAFANUZI WA KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI. kamati imejadili suala la upigaji wa kura kwa namna ya siri na wazi na vilevile kamati imekubali kuwa namna zote za upigaji kura zipo sawa, hivyo kamati imeona ni vyema wajumbe wenyewe waliamue suala la upigaji kura. Hivyo suala hili limerudishwa kwa wajumbe wenyewe.

Umeme umekatika Mwanza.. Hatuoni Bunge.
Sasa Jussa ndio anatoa maelezo ya uwasilishaji wa kamati katika bunge maalumu.
Duh hii ndio Tanzania.