LEO BUNGENI DODOMA
MAJALIWA AWATOA HOFU WADAU MRADI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA
Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa awatoa hofu wadau wa mazingira na wa haki za binadamu kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa Bomba la mafuta kutoka Tanzania mpaka Unganda kuwa Mradi huo utazingatia Diplomasia za kitaifa na kimataifa.