Bungeni: Majaliwa awatoa hofu wadau mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
LEO BUNGENI DODOMA

MAJALIWA AWATOA HOFU WADAU MRADI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA

Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa awatoa hofu wadau wa mazingira na wa haki za binadamu kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa Bomba la mafuta kutoka Tanzania mpaka Unganda kuwa Mradi huo utazingatia Diplomasia za kitaifa na kimataifa.

Your browser is not able to display this video.

 
Afu mnamuuzia nani hayo mafuta?
 
Haaminiki,wenye maamuzi ya mwisho ni Total na Uganda.
 
Iwapo TOTAL na mabenki ya mabeberu wakijiondoa ku finance mradi kwa shinikizo la beberu, je suluhu itakuwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…