Bungeni: Mariam Ditopile Makamu M/kiti Viwanda, Biashara, Kilimo & Mifugo kuukabili mfumuko wa bei ya Vyakula nchini

..sio " kidume " huyu?

..ana mume au bwana?

..labda atapewa maana marehemu baba[ capt.ukiwaona ramadhani mwinshehe ditopile mzuzuri ] yake alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Kikwete.
Na ndiye aliyemfanyia lobbying kwa Mzee Ruksa akachaguliwa naibu waziri alipokuwa bado chamani kule Ntwara !!
 
..sio " kidume " huyu?

..ana mume au bwana?

..labda atapewa maana marehemu baba[ capt.ukiwaona ramadhani mwinshehe ditopile mzuzuri ] yake alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Kikwete.
Sema Best Man wa Harusi ya Kikwete! Na Mkewe Ni Swahiba Mkubwa Sana Wa Salma
 
Inasemekana hivyo !

..inawezekana.

..maana Ditopile aligombea ubunge wa Ilala na kulikuwa na mpambano mkali sana na Mama Martha Wejja.

..pia usisahau kwamba JK aliwahi kufanya kazi Zanzibar.

..Nadhani kipindi Mzee Mwinyi ni Raisi wa Zanzibar Kikwete alikuwa huko kikazi.
 
wewe sijui ndio umecoment nini jamaa hakuwekwa huru na mfumo jinai bali inasemekana alikufa wakati bado kesi yake ya mauaji inaendelea sasa inasemekana ni kama mchezo wa daudi bilali
 
wewe sijui ndio umecoment nini jamaa hakuwekwa huru na mfumo jinai bali inasemekana alikufa wakati bado kesi yake ya mauaji inaendelea sasa inasemekana ni kama mchezo wa daudi bilali
Daudi Balali bado yupo. ?
 
wewe sijui ndio umecoment nini jamaa hakuwekwa huru na mfumo jinai bali inasemekana alikufa wakati bado kesi yake ya mauaji inaendelea sasa inasemekana ni kama mchezo wa daudi bilali
Ninachopinga ni huo ujinga wa kufikiria kuwa kifo ilikuwa mchezo.
Kwani mtu akiwa na kesi hawezi kufa?
Nataka jamii au taifa liachane na fikra zilizopindapinda, wafikri katika kweli iliyonyooka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…