Pre GE2025 Bungeni: Serikali yapendekeza kufutwa kwa Ada ya kupewa Kadi mpya ya Mpigakura

Pre GE2025 Bungeni: Serikali yapendekeza kufutwa kwa Ada ya kupewa Kadi mpya ya Mpigakura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, Waziri Jenista Muhagama (Waziri wa Nchi, Bunge na Uratibu) amesema Serikali inapendekeza ibara za 12, 20 na 21 zifanyiwe marekebisho kwa kuongeza hali ya Ulemavu kuwa miongoni mwa taarifa zitakazokuwa kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura na kuondoa Ada ya Marekebisho ya taarifa na Ada ya kupewa Kadi mpya ya Mpigakura

Kwa mujibu wa kifungu cha 20(2) cha Muswada wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa Mwaka 2023, kilipendekeza Mpigakura ambaye kadi yake itapotea, kufutika au kuharibika atapata Kadi mpya baada ya kulipia ada itakayokuwa imeainishwa na Tume

Pia soma:
 
Wazo langu hivi kwanini tusiwe na kitambulisho cha uraia tu kuliko kuwa na vitambulisho kibao.
 
Back
Top Bottom