BUNGOMA: Mwanaume mmoja akutwa akifanya mapenzi na mbuzi

BUNGOMA: Mwanaume mmoja akutwa akifanya mapenzi na mbuzi

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,701
Reaction score
1,714


KENYA: Mwanaume mmoja katika kijiji cha Nangwe huko katika Kaunti ya Bungoma amenusurika kifo baada ya kushambuliwa na wananchi wenye hasira baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mbuzi wa jirani yake.

Wananchi wenye hasira walimshambulia lakini alifanikiwa kujiokoa baada ya kukimbilia katika kituo cha polisi.
=============================

A man in Nangwe village, Bungoma County narrowly escaped death by lynching, after he was caught engaging in bestiality with a neighbour's goat.

Angry residents pounced on him and only escape into a nearby police post saved him from the irate mob.


Source: NTV Kenya
 
Hizi Genye zitaua watu, si angejiunga CHAPUTA tu, dhahama yote hiyo isingempata.
Lakini inawezekana ni masharti ya Mganga!
 
Back
Top Bottom