KERO Bunju A Dar es salaam, tatizo la kukatika kwa umeme limekuwa sugu

KERO Bunju A Dar es salaam, tatizo la kukatika kwa umeme limekuwa sugu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mzalendo03

Member
Joined
Feb 18, 2025
Posts
6
Reaction score
8
Ifike pahala sasa watu wa Bunju A Dar es salaam waanze kupaza sauti kuhusiana na kukatika kwa Umeme uku Bunju A.

Utafikiria tuko Mkoa ama Nchi nyingine. Kila kukicha umeme lazima ukatwe Bunju A. Ukiuliza wanajibu hitilafu!. Hii hitilafu ambayo haina mwisho ni hitilafu gani?
 
TANESCO shida ni nini? Umeme mmekata siku nzima uku Bunju , Dar es salaam ,mmerudisha , ndani ya nusu saa mmekata tena
 
Back
Top Bottom