Umeniwahi Mtani nilitaka kukutag mana nimeona sehemu mnafurahia eti unaitwa Sijui Mo ninini huko. π€£π€£π€£Mmeshalipa mishahara ya kina falcao
Simba Mo Arena.Umeniwahi Mtani nilitaka kukutag mana nimeona sehemu mnafurahia eti unaitwa Sijui Mo ninini huko. π€£π€£π€£
Unaitwaje vile huo Uwanja? ππ
Oooh! Kuumbe eee.Simba mo arena.
Hahaha ni heshima tu mtani tunampa
Kama ambavyo taifa kule tumempa mzee mkapa.
Kumbuka baada ya uwekezaji wake ndo haya yote yanafanyika.
hahahaOooh! Kuumbe eee.
Haya mupeni heshima yake ila musije jutia tu baadae.
Hivyo munambembeleza ili hata akitaka kufanya amuzi lisilo ageuke nyuma na kukumbuka.hahaha
Mnataka muanze kumzonga zonga mdosi.
Ili akasirike kama kipindi kile
Lengo atumimine.
Unapesa ya kuja nunua hisa zake Simba ??Oooh! Kuumbe eee.
Haya mupeni heshima yake ila musije jutia tu baadae.
HahahaHivyo munambembeleza ili hata akitaka kufanya amuzi lisilo ageuke nyuma na kukumbuka.
Mmeona mbali Mtani. π π
Mmiliki wa SimbaUnapesa ya kuja nunua hisa zake Simba ??
Unajua waswahili akili zao ni fupi sana..simba , uwanja vyote ni mali yake...akifa watamilik watoto , wakifa inaenda kwa wajukuu, wasipo itaka wanauzia mtu mwingine...mnyororo uko hivyo, hakuna namna simba inakuja kurudi mikonon mwa wanachama kama awali...
Unakuja jutia unajutia nini ?? Kama una pesa ya kwenda mpokonya hapo sawa
Sawa Mtani.Hahaha
Mtani; Mimi naamini chini yake simba itapiga hatua.
Hizi kelele nyingi zinatoka uko mabondeni na pia kwa vijana wa mzee kilomoni.
Naona unakazia ili nichambwe zaidi Mtani. π π π πMmiliki wa Simba
Ni wanachama wa Simba na ndio wenye hisa nyingi.
HahahaNaona unakazia ili nichambwe zaidi Mtani. π π π π
Hadi nimeenda kuedit comment yangu mana Mkuu kawaka mpaka nawaza ningekuwa karibu yake nini kingetokea. Teh teh.
Hahahaaa. LolHahaha
Mpira ni Buradani mtani.
Ila baadhi ya watu wanauchukulia kwa useriousness huo mpaka kufikia kutoa lugha ya kuudhi. Kiukweli huu ni uzwa uzwa mtani. Kama huwezi bishana kwa hoja ama huwezi matani ni bora mtu jiepushe na mijadala kama hii.