Bunju Complex ni mali ya Mo, si mali ya Simba SC

Bunju Complex ni mali ya Mo, si mali ya Simba SC

Sisi Yanga tuna wivu kama watoto wakambo...Mo anafanya kazi nzuri sana...Rostam na Garib wawekeze Yanga (30 billions)tutapiga hatua...tutakuwa levels za Al Ahly,Mamelod,Zamalek nk
 
Uwanja huu unaosemekana ni mali ya Simba ila ukweli sio mali ya simba bali ni mali binafsi ya mfanyabiashara mwenye share kubwa ndani ya club ya Simba Mohamed Dewj "Mo".

Jina la uwanja huo ni Bunju Complex na hautakaa upewe jina linalishabihiana na Club ya Simba.

Pia doccument za umiliki wa eneo pamoja na viwanja vyote cha mchezo na cha mazoezi hazijasajiliwa na kwa jina la Club ya Simba.
Lile Bwawa la Kaunda Stadium ni mali ya Mama Fatuma Karume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwanja huu unaosemekana ni mali ya Simba ila ukweli sio mali ya simba bali ni mali binafsi ya mfanyabiashara mwenye share kubwa ndani ya club ya Simba Mohamed Dewj "Mo".

Jina la uwanja huo ni Bunju Complex na hautakaa upewe jina linalishabihiana na Club ya Simba.

Pia doccument za umiliki wa eneo pamoja na viwanja vyote cha mchezo na cha mazoezi hazijasajiliwa na kwa jina la Club ya Simba.
Mmeshalipa mishahara? akina mulinga wana hali mbaya
 
Kwani uwanja wa Emirate wa Arsenal ni wa nani mbona hauna jina la Arsenal
 
Umeniwahi Mtani nilitaka kukutag mana nimeona sehemu mnafurahia eti unaitwa Sijui Mo ninini huko. 🤣🤣🤣

Unaitwaje vile huo Uwanja? 👂👂
Wewe ni mpole sana na huna ugomvi na mtu.
Yaani uko poa sana, hukasiliki wala kuongea vibaya. Nakukubali sana.
Hivi wewe ni ME au KE. ?
 
Back
Top Bottom