Bupe Ahoji Ujenzi wa Barabara Inayopitia Mbuga ya Wanyama ya Katavi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

BUPE MWAKANG'ATA - AHOJI UJENZI BARABARA INAYOPITA MBUGA YA WANYAMA KATAVI

MASWALI NA MAJIBU BUNGENI

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata katika kikao cha bajeti Bungeni kwenye kipindi cha maswali na majibu ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.

"Ni lini Serikali itajenga Barabara ya kutoka Lyazumbi inayounganisha Mkoa wa Rukwa na Katavi kupitia mbuga ya wanyama Katavi"? - Mhe. Bupe Mwakang'ata

"Barabara hii ni Barabara kuu, lakini kabla ya kujenga Barabara hii tumeanza kujenga Barabara ya Kiji Kibaoni kwenda Itarike, kwa sababu Barabara zinakwenda sambamba baada ya kukamilisha tutahamia Barabara inayopita katikati ya Mbuga ya wanyamapori ya Katavi" - Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…