witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Sante Sana mkuu, nimechoka kuombwa kitambulisho benkiNdio - Pembeni ya Vunja Bei - JKuna jengo lina Bureaue De Change. Ni Branch ya ile iko Mlimani City na Samora Avenue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sante Sana mkuu, nimechoka kuombwa kitambulisho benkiNdio - Pembeni ya Vunja Bei - JKuna jengo lina Bureaue De Change. Ni Branch ya ile iko Mlimani City na Samora Avenue.
Posta pale samora mbona hamna kitu pale, niliingia mpaka mle ndani nyuma ya S.H .Amon holaa, ikabidi niende bank ya posta opposite na benjamin tower[emoji848]
Kitambulisho ni lazima, hilo ni sharti la BOT. Hata Bureau de change hauwezi kubadili pesa bila kitambulisho.Sante Sana mkuu, nimechoka kuombwa kitambulisho benki
Dar na Moshi kwa wazee wa figisu, waliokuwa wamekuja na jina la mzee wa Toronto kumbe watu wanawachora tuKeys hotel iko wapi?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haaahaaaaView attachment 1738628
Hizo hapo details. Inaonekana hauijui hata Samora Avenue iliko. Wewe hauko Dar; uko huko Tarime udanganya watu. Sasa S.H Amon iko Samora tangu lini ? wapigie simu hapo wakuelekeze uende ukapate huduma. Acha kuleta uongo hapa.
Mambo dear[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haaahaaaa
Sawa mkuu
Zilikuwepo. Mlimani City Mall zipo mbili kitambo sana baada ya Magu kuingilia kati, plus zile za kwenye banks zoteNimeona bureau de change moja inaitwa Kadco. Je hawa wameufata vigezo gani hadi kuruhusiwa?
Zipo nyingi tu sasa....Ni kumfwata masharti mapya yaliyowekwa ikiwepo mtaji wa B moja
View attachment 1738628
Hizo hapo details. Inaonekana hauijui hata Samora Avenue iliko. Wewe hauko Dar; uko huko Tarime udanganya watu. Sasa S.H Amon iko Samora tangu lini ? wapigie simu hapo wakuelekeze uende ukapate huduma. Acha kuleta uongo hapa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haaahaaaa
Sawa mkuu
Hili lipemba imebidi nicheke tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]S. H Amon iko IPS Building ground floor, makutano ya Samora Avenue na Azikiwe.
Ramani hiyo hapo chini mkuu.
Mpemba Mimi ndo unatakiwa kujifunza Samora Avenue inakoanzia na inakoishia.
View attachment 1739166
Bureau na Bank nani alikuwa nafuu kusell dollar?[emoji849][emoji849]Zilikuwepo. Mlimani City Mall zipo mbili kitambo sana baada ya Magu kuingilia kati, plus zile za kwenye banks zote
Kilichofanyika though baada ya amari ya Magu ni kwamba rates za bureau hazikuwa zikipishana saaaaana na za bank. Infact kuna kipindi ilikuwa ni nafuu kwenda kuwazuia dollars bank kuliko bureaus de change
Poa mkuu uko fresh?Mambo dear
ZILIFUATA SHARTI LA BOND YA BIL 1.?Bureau de change zipo hii sio habari mpya baada ya kufungwa na kutakiwa kuwa na vibali na kufuata masharti ya BOT , zilifunguliwa ila sio utitiri kama zamani Mlimani City zipo mbili kule ndani na ziko active muda wote, pale namanga ukiwa unatokea Oysterbay polisi kama unakaribia mataa ukiwa unaenda mjini kushoto pale ipo, posta jengo la vioo ukitokea extelecom zipo za kumwaga , hata sinza pale kigorofa cha vunja bei ipo kwahiyo sio ishu suala lilikua utaratibu tu, hapa ukitaka kuanzisha uzi kana kwamba zimeanza baada ya mtakatifu yohani wa chattle kufwa unakua hujatenda haki .
Zitarudi zote, ni swala la muda kidogo tu, aliyezihiriki keshaendaMbona zipo ila ni chache sana mm nilikua naenda kuchenji pale keys hotel pale ipo.sema zimebaki zile ambazo zilitimiza vigezo na masharti ya bank kuu.
Baada tu ya ile intervention ya Magu, kuchange dollar upate shilingi ilikuwa nafuu kuingia bank kuliko zile bureau de changes za nje japo nje walikuwa wanauza dollar kwa bei nafuu kidoogoBureau na Bank nani alikuwa nafuu kusell dollar?[emoji849][emoji849]
Sheria za BOT zilikua zinasema je mkuu.mpaka nyingi zikafungiwa biashara?Mkuu - Bureau de change ziko wazi siku nyingi tu. Ni zile zinazofuata masharti ya BOT. Ziko hapo Mlimani City, Sinza karibu na Vunja Bei, Hata Posta - Samora Avenue pale NHC House. Zilizofungwa ni zile zilizoshindwa kufuata taratibu za BOT. Hizo ziko siku nyingi tu, wala hazijaanza leo. Siku nyingine uwe unatuuliza sisi tunaozitumia hizo USD na Sterling Pounds pamoja na Euro.
Hili lipemba imebidi nicheke tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Liswahili, maneno mengi kumbe empty box halafu linaniletea uswahili wake mpaka PM[emoji57][emoji57]