Bureau de change zimerudi?

Bureau de change zimerudi?

Nimeona bureau de change moja inaitwa Kadco. Je hawa wameufata vigezo gani hadi kuruhusiwa?
bureau de change (Maduka ya kubadilishia fedha) tukienzi kiswahili ndugu ili wanyonge nao wakuelewe!
 
Baada tu ya ile intervention ya Magu, kuchange dollar upate shilingi ilikuwa nafuu kuingia bank kuliko zile bureau de changes za nje japo nje walikuwa wanauza dollar kwa bei nafuu kidoogo

Banks nadhani target yao kubwa ilikuwa kukusanya dollars zaidi na kuzibania walizo nazo.
Hapo nimekuelewa mkuu, kwa ngosha mambo ndo yalichange

After all siku hizi nasell bank, mambo ya bureau za kitaa toka nimeona mizinguo nimeachana nayo
 
Back
Top Bottom