Umenifundisha kusoma?
Acha dharau mzee
Sasa nimekueleza maana ya neno kama.
Kwa mifano na tafsiri.
Nimekueleza kwamba "kama" Kiswahili, kwa Kiingereza inaweza kuwa "as", au inaweza kuwa "like".
Maneno mawili yenye maana tofauti.
Nikiandika "As a Catholic" na claim kuwa Mkatoliki.
Nikiandika "Like a Catholic" si claim kuwa Mkatoliki, nasema kwamba nashabihiana na Wakatoliki katika hili.
Hapo sijakufundisha kusoma bado?
Let me ask you a therapy question.
Are you an angry atheist? Is that perchance the root here?
Kwa sababu mimi ni atheist lakini si angry atheist, sina hasira na wanaoamini dini.
Nina rafiki zangu Buddhists, Christians, Muslims etc.
Nikija Tanzania kwetu walokoke heshima ya kwanza ninayopewa ni kupewa Biblia niendeshe maombi. Naheshimu imani zao na historia yake ndefu kuanzia babu yangu aliyekuwa mchungaji na aliyefundisha watu wengi kusoma kupitia kusoma Biblia. Hata hapa ninapokufundisha kusoma naona naendeleza kazi yake.
Ndiyo maana sina shida kusema "kama Mkatoliki sitaki kuchukiana" au "Kama Mbuddha napenda meditation".
Tatizo liko wapi nikiandika hayo?