barabaraya18
Senior Member
- Sep 18, 2006
- 106
- 8
Baba wa marehemu ni Muislam na anajua fika baada ya maiti kuoshwa na kusaliwa breki inayofuata ni MAKABURINI lakini ukweli ni kuwa Shkhe Mkuu wa BAKWATA inawezekana ndiye Consultant wa hao waGALA na inawezekana yeye ndiye aliyetoa Rukhsa na idea ya mwili wa Marehemu upelekwe DODOMA kisha IRINGA
Kwa faida ya nani? GAVANA mla RUSHWA ?
Kwa faida ya nani? GAVANA mla RUSHWA ?