barabaraya18
Senior Member
- Sep 18, 2006
- 106
- 8
Inasemekana Amina alipewa talaka moja, ambayo ni equivalent na separation, lakini hakuwa divorced.Nooo!....
Labda jamaa walirudiana bila sisi kujua! kuna kila dalili ilitokea hivyo maanake ndoa kama hiyo sio lazima kuwepo na sherehe.
TAFADHALI KAMA HUJUI KITU KUHUSU ISLAMIC LAW bora uzungumze siasaInasemekana Amina alipewa talaka moja, ambayo ni equivalent na separation, lakini hakuwa divorced.
Ok, Sheikh Barabaraya18! Talaka rejea je?TAFADHALI KAMA HUJUI KITU KUHUSU ISLAMIC LAW bora uzungumze siasa
KATIKA UISLAM HAKUNA TALAKA MBILI WALA TATU
TALAKA NI MOJA TUU NA HIYO NDIYO ALIYOITOA HUYO MEDI SASA TANGU LINI TALAKA UKAGEUKA KUWA SEPARATION?
TAFADHALI KAMA HUJUI KITU KUHUSU ISLAMIC LAW bora uzungumze siasa
KATIKA UISLAM HAKUNA TALAKA MBILI WALA TATU
TALAKA NI MOJA TUU NA HIYO NDIYO ALIYOITOA HUYO MEDI SASA TANGU LINI TALAKA UKAGEUKA KUWA SEPARATION?
Ok, Sheikh Barabaraya18! Talaka rejea je?
I rest my case.UISLAM HAUITAMBU HIYO TALAKA REJEA VILE VILE
Lakini baba yake Amina ndiye aliyefafanua kuwa Amina hakupewa talaka tatu, bali ilikuwa talaka moja, kwa hiyo aliendelea kuhudumiwa na mumewe.
Nini maana ya talaka Tatu?...Talaka tatu ni uwezo wa kurudiana ktk ndoa zilizovunjika....Hii ikiwa na maana kwamba Ukimtarakia mwanamke (kumwacha) anakuwa Sii mkeo tena ana uhuru wa kuolewa na mtu yeyote ama kuendelea na maisha yake. Ila mnaweza kurudiana bila taratibu za mwanzo ikiwa mtarakiwa ataridhika kurudi. mara ya pili vile vile lakini ya tatu ni mwisho wa mchezo wa marudiano. Kwa hiyo sii swala la karatasi ngapi za talaka zimetolewa!Baada ya mara 2 hapa tena kuna sheria nyinginezo zinatumika!...
ATAHUDUMIWA VIPI NA MUMEWE ILI HALI KESHAPEWA TALAKA? HUYU BINTI ALIKUWA HANA MUME, SEMA UISLAM UNAKUBALI KAMA KUNA GREEMENT BTW 2 PARTIES KUWA KUTAKUWA MA KUHUDUMIANA KIBINADAMU SAWA, UNLESS UNAONGELEA MEDI MPAKANJIA KUMHUDUMIA MWANAYE AMINA.
nadhani mamake amina ni mkristo ( not too sure ) maana niliona jina lake ni Digna, sasa msinirukie hapa kusema kwani mtu akiitwa digna la kizungu lazima awe mkristo, i understand that. hakuna jina la kikristo wala la kiislamu bali majina niya kizungu, kiarabu, kiyahudi, kiswahili, n.k na either way anaweza akawa dini yeyote.
Upande wa mama yake Marehemu Amina ni wakristo. Jina la mama yake ni "Juliana Mbanga." Hata hivyo mazishi ya Aminayalifanyika kwa taratibu za kiislamu.[/QUOT
Kwa sababu amina ni MUSILAM
Ndiyo, ninafahamu hivyo.Kwa sababu amina ni MUSILAM