Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Thanks for asking him the question .Unafahamu maana ya "may takeover"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks for asking him the question .Unafahamu maana ya "may takeover"?
Kwanza leta maana ya neno "may" na "takeover". Au kwa pamoja " may takeover".sawa.
lete ukweli wako.
sijui ni aina gani ya mikopo ambayo China ilitoa kwa Kenya. Kuna tetesi kuwa huenda China ikatwaa bandari ya Mombasa baada ya kushindwa kulipa mkopo iliyokopa China kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa SGR.
Chinese may take over Mombasa port: Ouko
'May' tz teachers should be jailed.tuliipenda bandari ya Mombasa lkn waChina wameipenda ZAIDI.
Wenzio hawakufunzwa kuhusu modal verbs shuleni.Kwanza leta maana ya neno "may" na "takeover". Au kwa pamoja " may takeover".
Duh!kama vile watz support each other hata kwa ujinga. Eti wabongo hawafi na juzi mlizindua Lori ya mazishiHili jukwaa bila wabongo kupita lingeshajifia zaman sababu wakenya wote wa Jf wana mtazamo mmoja kuhusu nchi yao humu wenyewe wanajiita wazalendo kumbe upimbi tu hawanufaiki na lolote kwenye ujinga wote wanaoupamba humu!
Kwanza leta maana ya neno "may" na "takeover". Au kwa pamoja " may takeover".
Kwanini sasayametimia. Mombasa port is going to be foreclosed by Mandarin speaking people.
Kwanini sasa
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Numbers are not adding up as the cost per unit for shipping CARGO vide SGR is far more expensive that shipping the same unit vide the road. This creates a very stiff competition, hence unable to achieve the projected revenue.
sijui ni aina gani ya mikopo ambayo China ilitoa kwa Kenya. Kuna tetesi kuwa huenda China ikatwaa bandari ya Mombasa baada ya kushindwa kulipa mkopo iliyokopa China kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa SGR.
Chinese may take over Mombasa port: Ouko
Kabla ya kushangilia misiba ya wengine (kama kweli na ndivyo hivyo wasema) tufikirie watu utakuwa mkubwa kiasi gani hasa baada ya miaka kumi ya ya utawala wa sasa... outcomes za ndege, bwawa la umeme, SGR, Daraja la Sallender, Flyovers na vingine vilivyo fanikishwa kwa cash ( fedha yetu) vitakapoanza kujibu... kwa Sasa tujitahidi kuwa watazamaji wazuri na tujifunze kwa mataifa mengine kwa upole maaana Hilo lililo mbele yetu hakuna alijuae...... [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo tutakuja kujua baadae kama hakuna atakaye kuja kudai.. Maana isije kuwa kama Mozambique ambapo serikali zilizopita zilichukua mikopo mikubwa ya kificho Na sasa msala umeisanukia serikali ya sasa Na tayari mmoja ya watoto wa former President wa Mozambique sasa kimemuwakiaAhaaa haaa haaa
Sisi ndege hatujakopa. Tumelipa in cash.