Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mzee Mohaned Said, huyu Captain Malik aliwahi kucheza pamoja na Sayid Hussein Badawi au yeye alikuja baadae?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anatoa historia ya mji wa dsm ambao wakazi wake kiasili ni wa pwani ambao majority ni waislamu siyo ajabu kutokuwa na watu wa dini zingine,
Huyo jamaa hajamjua Mzee Mohamed na fix zake pamoja na Udini alio nao.Kulikuwepo wachezaji wa dini nyingine kwa mfano Willy Mwaijibe , Arthur Mambeta , Gibson Sembuli, Chitete, Semboko etc!!
Chenji..Na wewe mzee wangu ALLAH amekujaalia kipaji kikubwa sana cha uandishi. Aina ya uandishi wako inavutia na haichoshi.
Uwe pole kwa msiba.
ALLAH amjaalie kauli thabiti marehemu.
Sisi sote ni wa ALLAH nasi kwake tutarejea.
Buji...Duh, buriani mzee, Mungu atuepushe na ufukara. Encyclopedia imepigika kichizi
Sesten,Mzee Mohaned Said, huyu Captain Malik aliwahi kucheza pamoja na Sayid Hussein Badawi au yeye alikuja baadae?
Shukran saana.Sesten,
Wakati wao mmoja.
Shariff alikuwa Cosmopolitan na Captain Malik Yanga.
Na club zao ziko jirani sana.
Cosmo wako Sikukuu na Mafia na Yanga wako Sukuma na Mafia.
Slim5,Mohamed Said Allah akuzidishia baraka tele na fanaka
Unajifanya unamjua sana Mohamed; ninakuhakikishia pengine mimi ninamfahamu zaidi kuliko wewe kwani mara ya kwanza kuonana nae alikuwa kijana akifanya kazi bandari kabla ya kujiunga na UDSM!!Huyo jamaa hajamjua Mzee Mohamed na fix zake pamoja na Udini alio nao.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
sawaUnajifanya unamjua sana Mohamed; ninakuhakikishia pengine mimi ninamfahamu zaidi kuliko wewe kwani mara ya kwanza kuonana nae alikuwa kijana akifanya kazi bandari kabla ya kujiunga na UDSM!!
Hebu tuambie alisoma UDSM miaka ipi?Unajifanya unamjua sana Mohamed; ninakuhakikishia pengine mimi ninamfahamu zaidi kuliko wewe kwani mara ya kwanza kuonana nae alikuwa kijana akifanya kazi bandari kabla ya kujiunga na UDSM!!
mzee wangu nimekutumia meseji inbox jaribu kuchekiSlim5,
Amin.
Lakini mbona kaiandika vizuri sana historia ya huyu bwana mbona wewe povuNafuu hujamtaja majina yake ya kwanza, kwakuwa kama ni Mkristo utagombana na huyu Mzee sasa hivi.
Ndio maana hapo majina ya kikristo aliyoyataja ni ya hao wazungu wawili tu.
Means Tanganyika haikuwa na mchezaji Mkristo wakati huo hata mmoja kote Simba na Yanga?
Mkiwa mnamsoma huyu Mzee inawapasa kuijua sababu ya kupost, Mimi nilishamsoma saikolojia yake katika mada zake huyu Mnafiki.
Kuna ujumbe alikuwa anatoa hapa kinafiki
Pia kuweni makini na Uongo alio nao.
Zamani wakristo katika miji ya pwani walikuwa ni wageni hvyo usitaraji historia ya zamani ya miji hiyonitaje wakristu wengiHuyo anatoa historia ya mji wa dsm ambao wakazi wake kiasili ni wa pwani ambao majority ni waislamu siyo ajabu kutokuwa na watu wa dini zingine,
Hebu tuambie alisoma UDSM miaka ipi?
Tusaidie kwahilo tafadhali.
njaa...mzee wangu nimekutumia meseji inbox jaribu kucheki
Sijakataa, hapo pia wapo ninaowafahamu vizuri na kazi zao hata kama hawakunifundisha.Wewe ulipokuwa tutorial Assistant wenzio tulikwisha maliza!! Enzi za wakina Clive Thomas, Tzentes,Rodney,Wadada Nabudere na Yash Tandon!!! Marehemu Haroub Othman na Boraafya wakiwa Lecturers faculty of Law.