Buriani Captain Malik, "Encyclopedia" ya historia ya mpira wa Tanzania

Sijakataa, hapo pia wapo ninaowafahamu vizuri na kazi zao hata kama hawakunifundisha.

Mohamed Said alisoma Mwaka upi mpaka upi?
Najua unamfahamu sasa Prof. Saada Othman, muulize yeye anamfahamu vizuri Mohamed toka akiwa mwanafunzi hapo UDSM.
 
Lakini mbona kaiandika vizuri sana historia ya huyu bwana mbona wewe povu
Nimekuambia unapaswa uwe unajua dhamira ya huyu Mzee kuanzia na mada zilizopita, kama huwa humsomi utaendelea kumuelewa unavyomuelewa.
 
Salaam Mh Mohamed Said....Poleni sana kwa msiba ila maandiko yako mengi sijawahi hata kuona umetoa tribute kwa mkristo yeyote au haujawahi kuwa na urafiki na wakristo?
 
Salaam Mh Mohamed Said....Poleni sana kwa msiba ila maandiko yako mengi sijawahi hata kuona umetoa tribute kwa mkristo yeyote au haujawahi kuwa na urafiki na wakristo?
King Kong...
Nimezaliwa Gerezani ya Dar es Salaam ya 1950 na ukweli ni kuwa mazingira yote yalikuwa ya Kiislam.

Angalia picha za harakati za kupigania uhuru miaka hiyo ya 1950 utaona Nyerere kazungukwa na Waislam.

Sasa unawezaje kumlaumu Nyerere kwa kumwambia mbona picha zote uko na Waislam hujawahi kuwa na Wakristo waliokuwa na wewe?

Kwani wewe unakereka kuwa mimi nimekulia katika mazingira haya ya Uislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…